Back to repertoire
Swahili

Call to Repentance

Copyright status has not been confirmed, so files are restricted to choir members.

Lyrics

AMIN AMINI NAWAMBIA
1. Amin, amin, nawaambia, ninawaambia;
Amin, amin, mmoja wenu, atanisaliti
Nitampiga mchungaji wa kondoo
Na kondoo wa kundi lake watatawanyika*2
2. Mwana wa Adamu aenda zake, ilivyoandikwa;
Ole ni wake mtu yule, amsalitiye
Ole wangu, ole wako, umsalitiye Bwana,
Ingekuwa heri kwetu tusingelizaliwa*2
3. Twaeni mle mwili wangu, uwe ukumbusho;
Twaeni mnywe damu yangu, iwe ukumbusho
Nitampiga mchungaji wa kondoo
Na kondoo wa kundi lake watatawanyika*2
4. Amini, amini na kutubu, enyi mataifa;
Amin, amini na kutubu, turudi kwa Bwana
Ole wangu, ole wako, umsalitiye Bwana,
Ingekuwa heri kwetu tusingelizaliwa*2

Liturgical seasons

Mass parts