Back to repertoire
Swahili
Bwana Upokee Zawadi Twaleta
Also known as: Bwana Upokee
Copyright status has not been confirmed, so files are restricted to choir members.
Lyrics
Bwana upokee, Bwana upokee, zawadi twaleta *2
1. Mkate na divai, zawadi twaleta
Mazao ya mashamba, zawadi twaleta
Na pia nafsi zetu, zawadi twaleta
Vyote tulivyo navyo, zawadi twaleta
Furaha na uchungu . . .
2. Na kiini cha ngano . . .
Na tunda la Mzabibu . . .
Fedha za mifukoni . . .
Nafaka upokee . . .
Twakutolea vyote . . .
3. Kwako Baba Muumba . . .
Kwa njia ya Mwokozi. . .
Katika Mfariji . . .
Ipate kugeuzwa. . .
Iweze kutufaa. . .
4. Pokea twakuomba . . .
Ingawa ni kidogo . . .
Twatolea kwa moyo
Baba usikatae . . .
Vipaji vya wanao . . .
Liturgical seasons
Mass parts
Offertory