Back to repertoire
Swahili
Bwana Tuelekee
Copyright status has not been confirmed, so files are restricted to choir members.
Lyrics
Bwana, ‘tuelekee, ‘tuhurumie,
Kwa kuwa tumekukosa.
1. Kwako Mkombozi / tena mfalme wetu /
Twayainua / macho kwa uchungu /
Sikia, Kristu / maombi na mlio.
2. Mkono wa Baba / wenye nguvu yote /
Wokovu wetu / mlango wa uwingu /
Futa madoa / ya makosa yetu.
3. Ewe Mkombozi / mwenye utukufu /
Usikilize / maombi ya watu /
Makosa yetu / utuondolee.
4. Tunaungama / dhambi zetu zote /
Kweli kwa toba / tunazifunua /
Mkombozi wetu / utuhurumie.
5. Bila makosa / walikukamata /
Ukakubali / kufa msalabani /
Urithi wako / uutunze daima.
Liturgical seasons
Mass parts
Recessional