Back to repertoire
Swahili

Bwana Kama Ungehesabu

Copyright status has not been confirmed, so files are restricted to choir members.

Lyrics

Bwana kama wewe ungehesabu maovu yetu,
Nani angesimama, nani angesimama
Nani angesimama mbele yako

Lakini kwako kuna msamaha, ili wewe uogopwe,
Nimemngoja Bwana, Roho yangu,
Na neno lake nimelitumaini
Nafsi yangu inamngoja Bwana, kuliko walinzi
Walinzi waingojavyo asubuhi
Naam walinzi wangojavyo asubuhi
Ee Bwana toka vilindini, nimekulilia
Bwana sauti yangu usikie
Masikio Yako yasikie dua zangu

Liturgical seasons

Mass parts

Entrance