Back to repertoire
Swahili

Bwana Ametamalaki

Copyright status has not been confirmed, so files are restricted to choir members.

Lyrics

Bwana ametamalaki, Bwana ametamalaki, aleluya
1. Mbingu/zifurahi/ na dunia/ ishangilie
Furahini, shangilieni, aleluya
2. Mbingu hutangaza haki yake Bwana,
Furahini, shangilieni, aleluya
3. Mataifa/yataona/utukufu/wake Bwana
Furahini, shangilieni, aleluya
4. Umetukuka Ee Bwana/juu ya/dunia yote
Furahini, shangilieni, aleluya
5. Kiti chako/ni imara/Wewe upo/tangu milele
Furahini, shangilieni, aleluya.

Liturgical seasons

Mass parts

Communion
Entrance