Back to repertoire
Swahili

Baba Twakutolea

Copyright status has not been confirmed, so files are restricted to choir members.

Lyrics

Baba twakutolea sadaka yetu hii leo, ukubali ikupendeze *2
1. Mkate tunaokutolea Ee Baba, ukubali...
Na ugeuke kuwa mwili wa Kristu (Ee Baba), ukubali...
2. Divai tunayokutolea Ee Baba, ukubali...
Naigeuke kuwa damu yake Kristu (Ee Baba), ukubali...
3. Mazao ya mashamba twakutolea Ee Baba, ukubali...
Ndiyo kazi ya mikono ya wana wako, ukubali...
4. Eklesia twatolea uibariki, ukubali..
Na kazi ya watumishi walio wako, ukubali...
5. Jamaa twakutolea uwabariki, ukubali...
Wazazi na watoto uwabariki (Ee Baba), ukubali...
6. Matoleo twakutolea Ee Baba, ukubali...
Uyabariki yawe sadaka safi (Ee Baba), ukubali...

Liturgical seasons

Mass parts

Offertory
Baba Twakutolea — Community Choir