Baba Tunaleta Vipaji
Also known as: Baba Tunaleta
Copyright status has not been confirmed, so files are restricted to choir members.
Lyrics
1. Baba tunaleta vipaji twakuomba sana pokea; Baba tunaleta twakuomba sana pokea
Twaja kukushukuru kwa yote unatujalia wanao; Baba tunaleta twakuomba sana pokea
Baba tunasema, asante, asante
Kutupa uzima, asante, asante
Kwa kutukomboa, asante, asante
Kutuweka huru, asante, asante
2. Mkate na divai twaleta twakuomba sana pokea; Baba tunaleta twakuomba sana pokea
Ndiyo kazi yetu wanao twakuomba sana pokea; Baba tunaleta twakuomba sana pokea
3. Mazao ya shamba twaleta twakuomba sana pokea Baba...
Hata ni kidogo twaleta twakuomba sana pokea...
4. Nazo fedha zetu twaleta twakuomba sana pokea...
5. Pia nyoyo zetu twaleta twakuomba sana pokea...
Japo ni dhaifu twaleta twakuomba sana pokea...