Back to repertoire
Swahili
Baba Ahsante
Copyright status has not been confirmed, so files are restricted to choir members.
Lyrics
(Baba) Asante, sina cha kulipa wewe.
(Baba), Kwa wema wako uliotujalia *2
1. Umenipa uhai umenipa uzima tele.
(Nimetoa dhabihu na nimetoa sadaka.
Siwezi kulinganishwa na wema wako Baba.) *2
2. Umenipa mavuno umenijalia mali nyingi.
(Nimetoa vipaji na matoleo ya fedha.
Siwezi kulinganishwa na wema wako Baba) *2
3. Umenipa talanta ya kuimba kanisani.
(Nakusifu kwa nyimbo, kwa kayamba na ngoma.
Siwezi kulinganishwa na wema wako Baba) *2
Liturgical seasons
Mass parts
Thanksgiving
Offertory