Back to repertoire
Swahili
Aulaye Mwili Wangu
Copyright status has not been confirmed, so files are restricted to choir members.
Lyrics
Aulaye mwili wangu, na kuinywa damu yangu,
Hukaa ndani yangu, nami hukaa ndani yake *2
1. Aulaye mwili wangu, na kuinywa damu yangu,
Ana uzima wa milele
2. Njoni enyi wenye njaa, njooni enyi wenye kiu,
Njoni kwangu niwashibishe
3. Aniaminiye mimi, na kushika nisemavyo,
Nitamfufua siku ya mwisho
4. Mlapo chakula hiki, mnywapo kinywaji hiki,
Mwatangaza kifo cha Bwana.
Liturgical seasons
Mass parts
Communion