Back to repertoire
Swahili
Anayekula Mwili Wangu
Also known as: Anayekula Mwili Wako
Copyright status has not been confirmed, so files are restricted to choir members.
Lyrics
1. Anayekula mwili wako, na anywaye damu yako
Anaishi ndani yako, ‘ye hatakufa milele
Yesu wangu nakuomba, nishibishe na mwilio
Nayo damu yako ninywe, ‘japo sistahili mimi
2. Ndani yangu Mwokozi yumo kwa mwili na damu yake
Ni rafiki yangu kweli nami sitamwacha kamwe
3. Alikuja kutuokoa, tuliokuwa dhambini
Kwa kifo chake msalabani, naye katupa uzima
4. Yesu wangu unibariki, nifundishe njia zako
Nipe moyo wa shukrani, nitembee nawe leo
Liturgical seasons
Mass parts
Communion